JKT kwa mujibu uje utie kelele hapa hata aibu huna we ungepitia jkt kwa kujitolea uujue uzalendo kwanza kwa nchi yako alafu tungeona kama utafanya ujinga huu wa migomo. Kwa mujibu nyinyi ndio ile mnapiga funika kombe mwanaharam apite kozi mtiemaji mtienaji miezi mitatu afu useme umepita jkt. Wewe pamoja na wenzio rudini tena jakata mkajifunze uzalendo kwa nchi yenu kwanza.
JKT kwa mujibu uje utie kelele hapa hata aibu huna we ungepitia jkt kwa kujitolea uujue uzalendo kwanza kwa nchi yako alafu tungeona kama utafanya ujinga huu wa migomo. Kwa mujibu nyinyi ndio ile mnapiga funika kombe mwanaharam apite kozi mtiemaji mtienaji miezi mitatu afu useme umepita jkt. Wewe pamoja na wenzio rudini tena jakata mkajifunze uzalendo kwa nchi yenu kwanza.
Sikiliza kijana katika watu ambao wamepitia jakata na kukosa ajira mimi mmoja wapo lakini sifikirii hata siku moja eti nidai ajira kwa kuandamana kwani mkataba wangu ulionyesha ajira ukimuona mtu kaoitia jkt na anaandamana jibu ahaiva kijeshi askari akiandamana maana yake ni uasi je waujua uasi unaathari gani kwa taifa? Pili kaa ukijua jkt unafundishwa uvumilivu je
uvumilivu wao upo wapi? Kama ni haki kuna namna ya kudai haki na sio kuandamana kitu ambacho kitaleta matatizo zaidi ya yale yaliyokuwa wanadai. Jkt ni jando la taifa pale ndio unaenda kupata miiko ya nchi na uzalendo kwa nchi yako. Mzalendo wa kweli ni yule anae heshimu sheria za nchi na serikali iliopo sasa kama serikali
imekuambia tunashughulikia tatizo kuna haja ya maandamano? Unavyosema haki yako sawa ni haki yako lakini serikali imekataa kukupa kabisa au utaratibu ulikua unafanyika wa kupewa na kwa nini usiwe na subira?
Napenda nikuulize swali dogo. Wanaoshindwa kutimiza wajibu wao kwa taifa ni wazalendo? Mie pia nimepitia JKT, operesheni Kambarage lakini natofautiana na wewe kwamba watu waende JKT ili wawe wavumilivu katika kudhulumiwa. Kila mtu akitimiza wajibu wake, hakuna migomo.
Kwa hiyo pindi serikali itapokuambia tatizo linashughulikiwa hiyo ni dhulma? Au hao vijana waliambiwa hawatapewa kabisa hiyo mikopo? Je serikali haijatimiza wajibu wake kwako na kwa mwingine? Mbona haitokei kipindi mnapolipwa kwa wakati hamgomi? Tatizo wanasiasa uchwara ndio wanaoangamiza taifa hili kila kitu kinajadiliwa kisiasa.
Ze Heby
Sikiliza kijana, katika watu ambao wamepitia jakata na kukosa ajira mimi mmoja wapo lakini sifikirii hata siku moja eti nidai ajira kwa kuandamana kwani mkataba wangu ulionyesha ajira ukimuona mtu kapitia JKT na anaandamana jibu ahaiva kijeshi askari akiandamana maana yake ni uasi je waujua uasi unaathari gani kwa taifa?
Pili kaa ukijua JKT unafundishwa uvumilivu je uvumilivu wao upo wapi? Kama ni haki kuna namna ya kudai haki na sio kuandamana kitu ambacho kitaleta matatizo zaidi ya yale yaliyokuwa wanadai. JKT ni jando la taifa pale ndio unaenda kupata miiko ya nchi na uzalendo kwa nchi yako.
Mzalendo wa kweli ni yule anayeheshimu sheria za nchi na serikali iliopo sasa kama serikali imekuambia tunashughulikia tatizo kuna haja ya maandamano? Unavyosema haki yako sawa ni haki yako lakini serikali imekataa kukupa kabisa au utaratibu ulikua unafanyika wa kupewa na kwa nini usiwe na subira?
unaandika utafikiri ni raia wa marekani au Japan! nani asiyejua usanii wa serikali ya ccm! bila maandamano,migomo serikali hii haitimizi wajibu wake!! kwako wewe uzalendo ni kukaa kimya hata haki zako za msingi zinapoporwa! hujielewi unachozungumza!!