Hilo wekezaji limeamua liachiwe mbuga ya wanyama, litakuwa limetoa hela ndefu kuhamisha vijiji vyote vilivyoko ndani ya hifadhi. Serikali ina hela gani ya kuhamisha vijiji na kujenga nyumba nzuri za kisasa elfu tanao halafu wahamishwaji wakakae bure?