JKT Ilala hawataki Transcript

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,715
2,385
Ndugu zangu napenda kutanguliza salamu kwenu.

Kama mlisoma tangazo la kujiunga na JKT 2016, katika kipengele cha 9 au 10 kinasema " Awe na cheti original cha matokeo/ transcript". Ugumu unakuja pale kuna madam anayepokea hizi application hataki transcript.

Kwa baadhi ya vyuo kupata cheti huchukua muda mrefu sana, pia transcript hutolewa na NACTE kwahiyo mimi sioni pingamizi ya hizi transcript.

Ombi: Naomba mamlaka husika itoe ufafanuzi kwa hili.
 
Usipoteze mda kukulalamika humu nenda kaombee wilaya nyingine achana na hiyo wilaya wewe
 
Mkuu una haraka ya nini....kutokana na sifa zilizo kwenye tangazo huja qualify kwahiyo subiri hadi mwakani ukipata cheti
 
Back
Top Bottom