No no noooooo....nooop Zakumi!
Sio ishu ya uvivu wa kupekua vitabu, otherwise kusingekuwa na kuleta threads hapa, maana tunge`assume ` kila mtu ashapekua vitabu na dokomenti husika!...Hapa tunajuzana na kushea kile ambacho unapenda wenzio wajue..
Kwa akili zako unadhani wangapi walijua juu ya umuhimu wa China et al` kwa Western Countries!...Lets discuss the pertinent matter here, not much-knowing...huh!