JK yuko wapi?


Hata kama amevurunda lakini kumuombea ajali si jambo zuri hata kidogo.
 
kuweni na utu jama,, kumwombea mtu ajali si jambo jema kabisa na si uungwana
 
kuweni na utu jama,, kumwombea mtu ajali si jambo jema kabisa na si uungwana

tunamwombea atoke atuachie nchi yetu aliyoichukua hisivyohaki, kwa nguvu ya brigedia shimbo, usalama wa taifa na kuchakachua..
 

Mcheki jukwaa la mambo ya kikubwa!
 

DOUGLAS WILLIAM

Kwa nini unamuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mauti? At times, lazima tufikiri kwanza kabla ya kupost mawazo yetu. Unafikiri Mh. Rais hasomi hizi posting zetu? Please, tumtendee haki hata kama kuna baadhi ya vitu haviendi sawa katika nchi yetu.......lakini tuzidi kumuombea afya njema na uzima! Urais si kitu chepesi kiasi hicho!
 
Yuko fungate na mjukuu wa mandela
 
muulize mrisho ngassa walikuwa wote seattle, akimcheki dogo akikipiga na akina rooney! ndo maana hajasikika from SA si unajua mkuu anavyohusu soka
 
hivi wewe nchi hii hata rais akiwepo kuna kipya gani unategemea???..kwa tulipofikia hata mtoto mdogo anatawala...
 
I aggree because i believe JF is better than that.Ila sitoshangazwa kama kuna watu mmoja mmoja wenye chuki ambazo zinaweza kutafsirika kama "chuki binafsi"
Isipokuwa ni vyema Mh Rais akiwasikiliza wananchi kwasababu asipofanya hivyo atajenga uadui.Na unajuwa kuna usemi kuwa adui yako mwombee njaa/mabaya.
Kama viongozi wetu wangekuwa na utaratibu wa kuheshimu mawazo mbadala,basi tungekuwa mbali sana.
 
Kaka hapo penye RED uliandika mwenyewe au kuna mtu amekuandikia?? Unatuuliza aliko, then unatuambia unajua aliko! akili yako iko sawa kweli?

Umeishia darasa la ngapi..au ni umagamba unakusumbua? Wenzako wote wenye akili wamenielewa
 

Hahitaji kuombewa afya njema huyu,aliachiwa urithi wa majini ya kumlinda na yule Babu wa Mwembe Chai.Adui yako muombee njaa ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…