JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?


FirstLady hapa unamaanisha nini labda
 

Nashukuru kwa hoja yako ,naamini hata watanzania wenzangu wengine nashauri tujaribu kujikita kwenye hoja kuijadili badala ya kukurupuka ,tumaini langu na imani yangu kwa wana jf kuwa hapa ni kisima cha chemi chemi ya maarifa .sasa tutaonesha udhaifu mkubwa kama tutakuwa tunahamisha maada badala ya kupanua mawazo na imengenya hoja .tutafute nini kimejificha kwenye hoja inayoletwa kwenye mjamvi huu.serikali yetu haina vipaumbele imechanganyikiwa kuwatelekeza wazee wetu wa EAC ni dhambi mbaya sana ccm itawatafuna ,hivi kweli wizara inasimama kutao hundi ya million kumi kodi za wananchi kwenda kuhani msiba ,tbc wametuonesha mtoto kule tanga wa mika miwili anahitaji msaada wa matibabu serikali inahani msiba.kweli ndicho yesu aliema waache waafu wazikane wafu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…