JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?

jamani hata public ilivyoupokea msiba wa kanumba ni tofauti na ilivyoupokea msiba wa mahundi au mzee kipara. kikwete & family wameakisi feelings za wengi.

kaka hata siku moja nchi haiendeshwi kwa hisia za watu.....nchi huendweshwa kwa mfumo...........

Kanumba ana mchango mdogo sana kwenye sanaa ukilinganisha na watu kama mzeee jongo ,marijani rajabu..,mzee kipara etc...ambao angetaka angewapa hata nishani......
magazeti ya leo yanasema kanumba mazishi ya kanumba yanaongozwa na makamu wa rais ...lakini kwenye msiba wa mkuu wa jeshi la polisi mstaafu wote hawa walidharu na kujifungia ngorongoro wanakula siku kuu........

this is cheap popularity....ambayo haiwezi kuduma muda mrefu..mrehemu kanumba akishazikwa watu watarudi kuhoji mambo yao ya msingi.....
 
kutoa salam za rambi rambi kwa msanii maarufu kanumba sio nongwa lakini swali kama hizo rambi rambi tangu anze kutoa wakati wa utawala wake, je hakijafika kiwango cha kuwalipa wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki kama zingekokotolewa hizo rambi rambi?

Uaonekana wewe ni mlevi wa gongo
 
VIP kile kipigo cha Arumeru ? Naona mnatafuta umaarufu kwenye misiba baada ya majukwaani kushindwa

juzi televisheni kaonekana mwigulu chemba na skafu lake shingoni ..na wasichana ameongozana nao kama sita wamevalia fulana za ccm -chagua kikwete .....nikacheka sana...nikasema kumbe sasa siasa zimeibukia huku........sikutegemea kabisa kuwa itafikia mahali tutake kjikomba kwa watu misibani.....badala ya kutekeleza sera.......pole yetu Tanzania...
 
Kwanza niwapeni pole kwa kuondookewa na msanii nguli Marehemu kanumba!pamoja na kuwapa pole pia mimi binafsi nimefiwa na Babu yangu marehemu Joachimu Kudike ambapo ni kazi ngumu sana kuupokea na kuukubali msiba wowote ule.
Ndg zangukilichonifanya niwaandikie hili ni kwa jinsi Rais wetu anaependa kujiita Dr anavyopenda kuyapa kipaumbele mambo mepesi yasiyokuwa na tija kwa taifa kuliko yale mazito na yenye tija kwa Taifa letu.nimeandika nikirejea mamia ya wagonjwa waliokufa kwa kukosa madaktari na rais hakwenda kuzika wala kuwatembelea wagonjwa mahospitalini badala yake anaupa uzito msiba wa kanumba ambaye naamini anahaki ya kwenda lakini sii kuupa uzito kiasi cha serikali kukubali kugharamia mazishi ilihali matatizo kama haya ni mengi. kwamimi ninaamini rais wetu kunawatu anawaona ni sawa na wengine ni sawa zaidi.kanumba yeye ni nani zaidi ya watanzania wengine?hilo fungu linatoka wapi?
 
Historia itamhukumu!!!
 
kwenye mazungumzo yangu na wananchi wa kawaida kabisa ...wanaamini maneno kuwa kanumba alikuwa freemanson ....na kifo chake kinatokea mwezi mmoja baada ya taarifa za yeye kuwa freemasin kutoka hadharani kupitia kipindi cha njia panda.........inaaminika pia kuwa Kikwete ni freemason...
so ukijumlisha unaona kuwa kikwete anampa heshima kubwa freemanson mwenzake kwa niaba ya wenzake.......na inasadikiwa kuwa ametolewa sadaka baada ya kuvujisha siri au siri zake kuvuja....thats is theory in streets...........
Kwa namna njingine watu makini wanaweza amini kutokana na uzito aliopewa huyu msanii usioendana na um umuhimu au mchango wake kwa taifa.....infact sinema zake hazikuwa na fasihi yeyote ya kufunza kwa kiasi cha watu kama mzee rajab hatia,ibrahim raha,kipara...bibi haambiliki[huyu kafa mwaka juzi jakaya yupo madarakani]...hawa hata wakuu wa wilaayA HAWAkwenda kuzika .
 
Michael Jackson, Bruce-Lee, Whitney na mastaa km Eto'o usipime na chochote km Siaa au marais
Kifupi picha moja (toleo 1) ya Kanumba inaingiza 1.5bn hapa TZ mbali na ajira za waigizaji acha machinga anayeuza fake duplicate toka kwa wahindi au % za mapromota km Felician Mutta FM Academia kutajirikia hapo
Huwezi pimisha Kanumba na mzee Jongo Bichuka au Mahundi au wastaafu Mtu anayeinguza dola na kuitangaza Nchi tofauti na mtu anayetumia tu tena madafu
Ulza Burundi Congo DRC mapokezi yao na Kigosi na Chengula hayajawi tokea hata kwa Rais yoyote labda Papa alipotembelea
Msanii huyu kaonekana zaidi machoni mwa jamii rika lote hata kesho kuliko yoyote eg Matangazo watoto wachanga wanayanasa sana
 
Mkuu ina maana Rais katoa rambirambi million kumi? Mmmh ina maana kila msiba kumbe huwa anatoa rambirambi. Ni Rais wetu sote sasa inabidi kila mtanzania akifa awe anatoa Rambirambi kama hiyk vinginevyo itakuwa hatendi haki kwa Raia wake anaowatala.
hawezi akatoa kwa wote....anatoa kwa fremason wenzake
 
Watanzania tuu washamba sana. Pale inapobidi tupige kelele hatupigi na pale pasipostahili tunapiga. By the way who is f...k Lulu au Kanumba katika maisha ya mtanzania? Nothing!!! They are just f...kng waasherati ambao hawana msaada wowote kwa maisha yetu, Ni nzi kafia kwenye kidonda... thats all! Hebu tujadili na kuwalilia watu wenye maana lakini sio hawa f...ng .... ******
*

Mkuu umetu,ia lugha kali sana japokuwa unaweza ukawa na ukweli flani ila maisha ya binadam ni mhimu sana na kwa ukweli watanzania wote ni mhimu na naamini wengi wana umhimu sana kwa taifa hili!
 
kutoa salam za rambi rambi kwa msanii maarufu kanumba sio nongwa lakini swali kama hizo rambi rambi tangu anze kutoa wakati wa utawala wake, je hakijafika kiwango cha kuwalipa wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki kama zingekokotolewa hizo rambi rambi?

Wait a minute hivi rambi rambi zinatoka mfukoni mwake au serikali?
 
Kuna wakati mwingine nalazimika kumdharau JK.Hivi jiulize rais anaahirisha safari ya kwenda ughaibuni
ili ahudhurie mazishi ya Kanumba.Hivi mbona hakuahirisha safari wakati wa ule mgomo wa Madaktari na
badala yake alimwachia matatizo yote Pinda?Kanumba ana umuhimu gani kwetu ukilinganisha na Madaktari?
 
Nimeshanagazwa sana kumuona Mhe Raisi, makamu wa rais, waziri mkuu na viongozi wengine kem kem waklienda kusaini kitabu cha maombolezo ya the late Kanumba.
Swali langu ni je, hawana kitu cha kufanya (priority)
Wasingaliweza kutuma wawakilishi?
Obama sikumuona kifo cha Michael Jackson wala Whitney... Tunajifunza nini hapa?
 
Mkuu, vipi Slaa, alikwenda kumzika Maundi?

Hivi kwani Dr. Slaa ni Rais wa nchi hii au JK??? Slaa ni Katibu wa chama sawa na Mukama. Tafuta point nyingine ya kuharalisha rais kuhudhuria na kutoa million kumi kwa Kanumba wakati amemtosa Mahundi!!!
 
Uaonekana wewe ni mlevi wa gongo

Little knowledge is a poison of truth.elimu ndogo ni sumu ya ukweli.ukweli huu unadhihirika wazi katika maisha yetu .kwani mwenye elimu ndogo na ufahamu kiasi mara nyingi hujifanya kuwa anajua kama huyu hapa wakati hajui ,huamini kuwa nafahamu na hujenga kiburi cha kuwa anaelewa mambo yalivyo wakati yupo katika ulimwengu wa taswira .matokeo yake hajengi hoja yenye kuibana sheria ya kimantiki ambayo zinamtaka ayaangalie mambo kwa kina na atoe michango ya maana ya maadili ,baadala yake anaruka ruka na hoja eti unaonekana wewe ni mlevi wa gongo .kumtambua mjinga ni rahisi tuu utamg'mua kupitia hoja zake . wewe funguka fikirisha akili yako .kama wangekuwa wanapiga kura nani afe wewe ungepigiwa kura ufe maana ni bora maiti iliolala itatoa harufu amabayo itawavutia inzi waje karibu nayo kuliko wewe uliye hai lakini umekufa kifikra ,unautapia mlo wa fikra.
 
Kwani JK ndiye aliyewaajiri wazee wa EAC?

Hao wazee wanadai toka enzi za Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa akaondoka baada ya kuwalipa pesa kiduchu na sasa Jk ambaye bado hajamaliza muda wake. So give him a break...come with something more concrete.
Hivi kwa IGP Mahundi nako alitoa hizo 10 milioni?
 
Mimi nadhani ni kama fedha yake ya mfukoni kwa sababu sijadhani kuna kikao chochote kimekaa kumruhusu Rais atoe hiyo mil.10. Hapa ni suala la kuguswa na msiba wenyewe. Tusiingize hili nalo katika siasa, tunaonekana kama hatuwezi kutenganisha siasa na masuala ya kijamii. President JK is 100% perfect.

Rais anakitu kinaitwa political vote .hizo fedha sio za mfukoni mwake ni kodi za watanzania zinazotengwa kwenye budget ya ikulu hata wakuu wa mikoa pia wanalo fungu kama hilo ,kama sivyo ikulu ijitokeze ijibu ,fungu hilo hutumika pale wanapodhani wamefurahishwa .ndiyo maana utasiki pinda katoa ahadi ya million kumi kwa saccos fulani ,fedha hiyo inletwa baada ya miezi kadhaa hadi zikusanywe kodi . kwahiyo isidhani kuwa fedha hizo ni za mfukoni mwa kikwete ni fedha zinazotokana na kodi za watz.
 
Mkuu, vipi Slaa, alikwenda kumzika Maundi?

dr slaa is not our president hata akienda anakwenda km yeye atakua akiwakilishi chama kwa sababu katibu wa chama sio taasisi bali rais ni taasisi hivyo hatoi rambirambi kutoka mfukoni mwake ni pesa za walipa kodi alichezea
 
Back
Top Bottom