JK:Tutaserebuka,sijazeeka bado!

JK:Tutaserebuka,sijazeeka bado!

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Nimemsikia FASTJET akiongea huko kigoma!eti akimaliza kuhutubia ataserebuka nao kwa vile bado hajazeeka!mapigo anayakumbuka!huyu kweli NAZI!
 
Alikuwa anachangamsha hadhira.Mh JK anasema CCM ina wanachama 6,042,791 nchi nzima. Anasema wanachama popo ni hatari kwa CCM.
 
Kumbe jina lingine anaitwa fastjet. Duh! Mpaka ifike 2015 atakuwa amevunja rekodi ya marais waliomtangulia.
 
huyo wa *****91 ni nani si tulisikia wakigombea mwanachama juzi kati.naona kama nae yupo vle
 
Alikuwa anachangamsha hadhira.Mh JK anasema CCM ina wanachama 6,042,791 nchi nzima. Anasema wanachama popo ni hatari kwa CCM.

1.hao wengine 12000000 kwa mujibu wa daftari la wapiga kura 2010.
2.waliojiondoa na kujiunga upinzani amewatoa?
 
Alikuwa akituliza Munkari wa mashabiki wa Diamond (Platnum) kwani walikuwa wanakanyagana
wakigombania kumwona, watoto wengine wameonekana wakiokolewa na Asha Baraka na Dokii
wakiwa hoi...kweli sherehe zimefana wamefanya vema kumuita Diamond japo hajawatungia wimbo
Watu wamefurika sana wanasikiliza hotuba
 
Nimemsikia FASTJET akiongea huko kigoma!eti akimaliza kuhutubia ataserebuka nao kwa vile bado hajazeeka!mapigo anayakumbuka!huyu kweli NAZI!
Kichwa Nazi....
 
kwanini hii mada yako usingeipeleka kule kwenye jokes na mambo yanayofanana na hayo? hapa tunajadili great ideas kuhusu siasa na si hizi jokes zako hapa mara kuserebuka puffffffffffffff, leave me alone.
 
Nimemsikia FASTJET akiongea huko kigoma!eti akimaliza kuhutubia ataserebuka nao kwa vile bado hajazeeka!mapigo anayakumbuka!huyu kweli NAZI!

Ni kweli kabisa! Si ana chekechea kibao!!!! Si tuliona wakati wa sensa jamani!!!!!
 
Back
Top Bottom