AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,501
- 189
Wenye njaa zao wamepata namba yta Raisi wamempigia na wanamuomba milioni mia hamsini mtaji,baada ya kuchati na kuongea kwa simu bila kuafikiana mkulu kaamua kuibuka nalo kwenye mikutano yao etii sitaki kuombwa hela ,wananiuzi sana watanzania wanaoomba fezaaaaa,
sasa mpaka mnakubaliana mia hamsini,mnachati na kuzungumza ulikuwa hujui kama una hasira nao au sanaa tuu?
wape hela 2015 inakaribia
sasa mpaka mnakubaliana mia hamsini,mnachati na kuzungumza ulikuwa hujui kama una hasira nao au sanaa tuu?
wape hela 2015 inakaribia