Je hii ni Vita mpya inayokuja:
Pombe + Mwakyembe against RA through Estim Construction Ltd:
Why JK amemtua Pombe na Mwakyembe kwa ajili ya kumpiga vita RA as kampuni yake ya Estim ndio inayoongoza kwa kupewa deals nyingi na Wizara ya Ujenzi toka enzi za mzee wa vijisenti?
Inasemekana Pombe alikuwa anapigwa vita na mtandao asirudi ujenzi ili waendelee kuzifaidi fwedha za Ujenzi. Ni nani alikuwa anaifahamu kampuni ya Estim mpaka 2005? Je ilipataje deal la ujenzi wa kitega uchumi na UVCCM?
JK amemuweka Mwakyembe pale ili amsaidie Pombe kunyang'anya kazi zote za Estim zilizopatikana kimagendo?
Naomba mchango!
Tafadhali usiandike lolote bila kuwa na taarifa sahihi. Estim sio kampuni ya Rostam, labda ungeongelea CASPIAN. Estim inahusishwa na Patel wa MM Steel.

Asiyewezekanika ni Mungu tu kaka acha kuabudu watu ,kwa nini asiwezekanike huyo RA au kwa kuwa ana vijisenti?kama serikali ikiamua hakuna aliye juu ya sheria ,Kikwete akiamua kumshughulikia hana haja ya kuwatafuta akina Mwakyembe au Magufuli si hao wote ni wateuliwa wakehawamuweza Rostam hata wafanyeje..ukitaka kujua kwa nini hawamuwezi muulize Samuel Sitta atakusimulia vizuri ....
Asiyewezekanika ni Mungu tu kaka acha kuabudu watu ,kwa nini asiwezekanike huyo RA au kwa kuwa ana vijisenti?kama serikali ikiamua hakuna aliye juu ya sheria ,Kikwete akiamua kumshughulikia hana haja ya kuwatafuta akina Mwakyembe au Magufuli si hao wote ni wateuliwa wake
Je hii ni Vita mpya inayokuja:
Pombe + Mwakyembe against RA through Estim Construction Ltd:
Why JK amemtua Pombe na Mwakyembe kwa ajili ya kumpiga vita RA as kampuni yake ya Estim ndio inayoongoza kwa kupewa deals nyingi na Wizara ya Ujenzi toka enzi za mzee wa vijisenti?
Inasemekana Pombe alikuwa anapigwa vita na mtandao asirudi ujenzi ili waendelee kuzifaidi fwedha za Ujenzi. Ni nani alikuwa anaifahamu kampuni ya Estim mpaka 2005? Je ilipataje deal la ujenzi wa kitega uchumi na UVCCM?
JK amemuweka Mwakyembe pale ili amsaidie Pombe kunyang'anya kazi zote za Estim zilizopatikana kimagendo?
Naomba mchango!
Kwani Estim kashindwa kazi mahali? Mbona hamzilaumu hizo kampuni za kichina ambazo zinashindwa kukamilisha mikataba?
Amandla......