NJIAZOTE MAJEBELE
New Member
- Mar 17, 2013
- 2
- 0
Kama mwalimu angekuwepo hii leo, haya yanayotokea leo yangekuwapo? Je! Tufanye nini ili tuilinde hii amani adimu kuipata duniani?
JE ANGEKUWEPO LEO, ILE UNIVERSITY KUBWA KULIKO ZOTE KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA(udom) INGEJENGWA? WANAMUZIKI WANGERUDISHIWA HATI MILIKI? JE YANGA NA SIMBA NA VILABU VINGINE VINGEWEZA KUJIENDESHA KIBIASHARA? tungekuwa na uhusiano mdogo wa kibalozi na israel? Je Mbwana samata angeweza kupata shati TP Mazembe? CHADEMA ingekuwepo? kwa hiyo kurudisha azimio la arusha ni sawa kutia mchicha katika grasi ya mtindi. maana mauzi yake ni kufuru kubwa!!!!!!Kama mwalimu angekuwepo hii leo, haya yanayotokea leo yangekuwapo? Je! Tufanye nini ili tuilinde hii amani adimu kuipata duniani?