JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Mnafiki tu! Anawalea mwenyewe hao wanaopiga domo la kususia sensa kwa kipengele cha udini halafu anajifanya hayupo nao. Hipocrite!

jana nikiwa kwenye daladala abiria mmoja akasema eti baadhi ya watu wamesema mpaka yule mjusi aliyepelekwa Ujerumani arudi ndo watakubali kuhesabiwa , akaongezea unajua sisi waislamu tunapenda ligi sana hicho kipengele cha udini kikiwekwa kwenye sensa utasikia kwakuwa waislamu idadi yetu ni kubwa KIPINDI CHA RAMADHANI HAKUNA KWENDA OFISINI nilichoka kabsaaa kwa kauli hii , sisi wakristo kila mwaka kupitia jumuiya ndogo ndogo tunapewa makarati ya kujaza idadi yetu ili kufahamu waumini wangapi wako active na wana participate kwenye jumuiya , labda waislamu nao waanzishe jumuiya za kusali pamoja watajua idadi yao ,
 

kwani jk hakwenda kwenye msiba wa waziri mkuu wa ethiopia?
 

unaongeza vapour zaidi kwani unajua hicho ulichokiandika hapo mwisho nani anayesababisha hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…