funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,535
- 31,199
Mzee huyu ambaye alikuwa kijana anastahili lile jina la 'Mzee wa Maamuzi magumu'
Hili halina ubishi na amalidhihirisha mara kadhaa na kwa ustadi wa kipekee.
Mwaka 2010 alikuwa kwenye wakati mgumu sana na humu JF tulihisi asingeweza kushinda uchaguzi na mara baada ya kutangazwa tulihisi asingemaliza muhula wake.
Kuna baadhi yetu tulifikia kusema kuwa ccm ilimuacha mpweke na hata kampeni ilibidi ajipigie mwenyewe na familia na marafiki wa karibu.kwa ufupi alikabiliwa na wakati mgumu yeye kama yeye na chama chake.
Mifano miwili ya maamuzi magumu ni
1-Kumtosa spika samwel sita
2-kumkata Mh Edward lowassa.
Huyu jamaa anatabasamu mda wote lakini ni mbishi wa kikwere mwenye maamuzi magumu mno tena dhidi ya watu wagumu haswa.
Usijali nini kinafuata we kata tu!haya ndiyo maamuzi magumu!maamuzi magumu sio mdomoni ni vitendo.
Yote kwa yote tumpongeze tu!
SIO RASMI....
Kauli ya Kikwete ya hivi punde kwa halmashauri kuu " Hii nchi ni ya Watanzania wote. Kila mtu ana haki ya kuhitumikia! Kila chama kina haki ya kushika dola na kutumikia wananchi kwa sababu ni nchi yao. Hakuna mwenye haki peke yake ya kuongoza nchi hii . Si chama wala mtu mwenye haki ya kipekee kuongoza nchi. CCM haipo peke yake kwenye mchakato huu.! Vyama vya siasa navyo vitaweka wagombea. Pia nao wanasifa ya kutumikia nchi yao. Ni wazalendo pia. Mzalendo akikosekana hapa CCM tunaweza kumpata ndani ya vyama vingine. Siyo dhambi! Nilimchagua Mbatia kutoka NCCR kuwa mbunge. Sikutenda dhambi!...sikulaumiwa! Mkichagua nje ya ccm hamtalahumiwa. Mtakuwa mmekidhi haja yenu ya kikatiba iliyo sahii kabisa. Ni lazima utaribu uheshimiwa la tutakuwa tumeshindwa kabla.......
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!