Jk na 'sijui' na 'nashangaa' zake

anashangaa kwanini mafisadi wa EPA hawajarudisha pesa zote ilihali alisema wazirudishe
 

Ukiwa na rais mswahili lazima uwe tayari kusikia mengi kutoka kwake. Tuvumilie amalize muda wake tutapumzika na kauli za ajabu ajabu za kitoto.
 
Kama Rais wa nchi hajui ni nani atajua shida zetu? Kazi tunayo waTZ.
 
Ni kwa vile tunamdekeza kwani Anashangaa amekuwa rais kwa awamu ingine tena Hajui kwanini amechaguliwa huku hakufanya lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…