Jk kwanini hakuvunja baraza la mawaziri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kwanini hakuvunja baraza la mawaziri?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by boma2000, Oct 31, 2010.

 1. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kwa utaratibu wa kawaida miaka yote huwa naona kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika huwa rais wa jamhuri anatangaza kuvunja baraza la mawaziri na makatibu wakuu wanakaimu kwa muda mfupi. Lakini mwaka huu kwa mara ya kwanza sikusikia Rais anayemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete amevunja baraza la mawaziri. inamaana kuna utaratibu mpya na adhari zake ni nini?
   
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Imeandika kwenye katiba ipi? please give us the page.
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ni utaratibu wa kawaida wa kuendesha serikali, sina hakika na katiba inasemaje
   
 4. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Naomba msaada wa kisheria kwanini baraza la mawaziri halikuvunjwa?
  Kama ni sheria kuvunja baraza la mawaziri je wale walioshindwa na bado ni mawaziri hawawezi kuvujisha nyaraka za serikali yetu. Si nyaraka tu, fedha yetu itasalimika? Miradi yetu itasalimika?
  Naomba sana msaada wenu wa Jf
   
Loading...