Asije akasema kama kawaida yao,"Muungano huu ni mzuri sana, usingekuwa mzuri usingekuwepo kwa miaka 50 sasa!" This is nonsense! Ukoloni ulidumu zaidi ya hiyo miaka 50, ndiyo tuseme ukoloni ulikuwa mzuri ndiyo maana ulidumu sana!!!!???? Mawazo yaleyale ya INTERAHAMWE ya Komba, Lukuvi, and the list goes on!!!!