JK kugawa ubalozi kama zawadi

JK kugawa ubalozi kama zawadi

Joined
Jan 12, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Naomba mnisaidie wanajamii forum.hivi suala la raisi kuwapa ubalozi viongozi walioonekana kushindwa kazi ni fadhila ama zawadi kwao?
 
In politics, anybody who may pose a threat to policies of the ruling power, should eighther be eliminated or transfered to foreign diplomatic missions (only if he may become usefull in future. Nothing new.To answer your quastion; NI ZAWADI.

A man must learn to understand the motives of human beings, their illusions, and their sufferings.
 
weka ushahidi nani kashindwa na kapewa ubalozi na pia wa nchi gani?
 
umepost kishabiki mno,au ulikuwa usingizini umekurupuka tu.
 
hakuna cha zawadi wewe,acha uzandiki na chuki zako,au ulikuwa unategemea nawe upate ubalozi ukaukosa
 
Back
Top Bottom