Sikubaliani na Kagame/Museveni kumshurutisha Kabila awe na power sharing na M23. Wanaongoza through fear mongering na ukabila ... wananchi wa Congo wapewe elimu ya political process kama njia ya kupata serikali wanayoitaka.
Vita inawaathiri wanawake na watoto .... soi it's a noble thing to go and protect our neighbors and let these people know that enough is enough!
So far Jk amecheza kama pele!
Suala la DRC linaudhi sana, na wanaoliendekeza ni Kagame na kwa mbali Museveni.
Kwamba Tanzania has openly decided to back Kabila ni kuonyesha kwamba sasa enough is enough.
Tanzania imeahidi kupeleka jeshi la kulinda amani, lakini tunajua sote kuwa hpo Goma situation ni volatile.
Na mpaka tume jiorodhesha kushiriki kijeshi inamaana uelekeo wa diplomasia kwa Kagame na Museveni umjionyesha wazi.
Lazima tumpe tafu kijana wa Kunduchi, Kabila.
Ni wazi kuwa hao M23 ni outfit ya Kagame, bika ubishi.
Museveni amelielewa vizuri hilo somo na ndio maana aling'aka hata kwenye kikao cha SADCC, na baadaye kutokomea na kususia sherehe za Uhuru wa Tanzania za miaka 51!
Kagame na Museveni wanajua wazi kuwa world opinion is against them.
Vichwa maji Bob Mugabe wa Zimbabwe na Dos Santos wa Angola walihisiwa kukaribishwa kuwadunda hao M23, kwa hata msaada wa nchi nyingine.
Na hapo ndo hawa waHima wakatambua kuwa mambo yanaanza kuwa geuka, wakawaondoa M23 harka sana.
All this time tanzania has kept off the game, but I dont think it will be for much longer.