Sijaelewa hata
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaah...aya banaAnauliza hivi, ndio moja kati ya zile thuti 5 zenye thamani ya permit ya kujenga hoteli Rongorong......ah no I mean Ngorongoro?
Unamuona baba MwanaAsha anavyonyenyekea akiwa mbele ya wafadhili wake; shurti kwa kukunja mikono!! Chezea fedha ya warabu wewe!!!Jamaa ndio anauza nchi hivyo!
View attachment 91227
:lalala: