nguvumali JF-Expert Member Joined Sep 3, 2009 Posts 4,927 Reaction score 1,342 Oct 27, 2011 #21 kwani suti zimeisha nini ?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Oct 27, 2011 Thread starter #22 nguvumali said: kwani suti zimeisha nini ? Click to expand... suti zipi?
Dumelambegu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,052 Reaction score 260 Oct 28, 2011 #23 Tatizo la 'msafiri kafili' ni kusahau. Hapo alipo na mamsapu wake hawawazi chochote kuhusu hali ngumu ya maisha bongo. Hawana haya kutembelea nchi za wenzao kila kikicha.
Tatizo la 'msafiri kafili' ni kusahau. Hapo alipo na mamsapu wake hawawazi chochote kuhusu hali ngumu ya maisha bongo. Hawana haya kutembelea nchi za wenzao kila kikicha.