babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,327
nchi ya amani na utulivu
Kila siku tunasikia POLISI IMEJIPANGA UHALIFU HUU USITOKEE TENA lakini kila kukicha unaongezeka!
Usiongezeke vipi wakati wanaotoa hizo ahadi huenda ndiyo watekelezaji wa uhalifu huo! .....Get it in your skull!Kila siku tunasikia POLISI IMEJIPANGA UHALIFU HUU USITOKEE TENA lakini kila kukicha unaongezeka!
Sio ya Kibanda tu hata yale mauaji ya Zanzibar hakuna habari zaidi ya matamko makali yaliyotolewa na wakubwa.
Usiongezeke vipi wakati wanaotoa hizo ahadi huenda ndiyo watekelezaji wa uhalifu huo! .....Get it in your skull!
Ndo mambo ya kiintelejensia, we ran for vested interest..! Huyu Kibanda ni msumbufu na hana tija kwa taifa sana sana kazi yake imekuwa kutetetea magamba.! Ngoja aonje joto ya jiweKipindi mauaji ya Liberatus Baro aliekuwa kamanda wa police Mwanza yametokea, haikuchukua hata wiki wahalifu wakakamatwa, hili la Kibanda ni vipi hata harakati za kutafutwa hazionekani wazi wazi.
Hakika kauli hazitaweza fanikisha ukamatwaji wa wahalifu,
Tunataka vitendo.
Ndo mambo ya kiintelejensia, we ran for vested interest..! Huyu Kibanda ni msumbufu na hana tija kwa taifa sana sana kazi yake imekuwa kutetetea magamba.! Ngoja aonje joto ya jiwe
Kwa haraka haraka unaweza kudhani hivyo, ninachosema ni kwamba Kibanda anatabia za usaliti sasa kwa hisia zangu may be amesaliti kule kwenye wataalam wa kurekebisha tabia..! Cdm size yake ni CCM siyo Kibanda.!Ukisema hvyo inamana unawahusisha cdm moja kwa moja na hli tukio