JK hatutaki kauli tunataka utekelezaji

JK hatutaki kauli tunataka utekelezaji

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,314
Kipindi mauaji ya Liberatus Baro aliekuwa kamanda wa police Mwanza yametokea, haikuchukua hata wiki wahalifu wakakamatwa, hili la Kibanda ni vipi hata harakati za kutafutwa hazionekani wazi wazi.

Hakika kauli hazitaweza fanikisha ukamatwaji wa wahalifu,

Tunataka vitendo.
 
Kila siku tunasikia POLISI IMEJIPANGA UHALIFU HUU USITOKEE TENA lakini kila kukicha unaongezeka!
 
Sio ya Kibanda tu hata yale mauaji ya Zanzibar hakuna habari zaidi ya matamko makali yaliyotolewa na wakubwa.
 
Kila siku tunasikia POLISI IMEJIPANGA UHALIFU HUU USITOKEE TENA lakini kila kukicha unaongezeka!
Usiongezeke vipi wakati wanaotoa hizo ahadi huenda ndiyo watekelezaji wa uhalifu huo! .....Get it in your skull!
 
Hivi hamjafahamu kwamba JK ni mshiriki wa haya mauaji, tuliona kabisa jinsi walivyotaka kumuua Ulimboka kutoka kwa watu walio karibu na JK. Huwezi kumpigia gitaa mbuzi. Kama hiyo haitoshi Je, waliofukiwa shinyanga kwenye migodi na polisi kwa amri kutoka Magogoni je?

Tuache unafiki tunahitaji rais mpya atakayekuwa na ubavu wa kutekeleza sheria na kuwaweka jela wote wanaoifilisi nchi hii na kutafuna pesa za walipa kodi bila kunawa mikono.
 
ni watu gani wanafanya haya mambo, Tz tunaenda wapi mwl. aliwahi sema ukiona jeshi/polisi linalalamikiwa na wananchi uje serikali tayari imetengana na wananchi. akili za kuambiwa changa na zako
 
Kipindi mauaji ya Liberatus Baro aliekuwa kamanda wa police Mwanza yametokea, haikuchukua hata wiki wahalifu wakakamatwa, hili la Kibanda ni vipi hata harakati za kutafutwa hazionekani wazi wazi.

Hakika kauli hazitaweza fanikisha ukamatwaji wa wahalifu,

Tunataka vitendo.
Ndo mambo ya kiintelejensia, we ran for vested interest..! Huyu Kibanda ni msumbufu na hana tija kwa taifa sana sana kazi yake imekuwa kutetetea magamba.! Ngoja aonje joto ya jiwe
 
Ndo mambo ya kiintelejensia, we ran for vested interest..! Huyu Kibanda ni msumbufu na hana tija kwa taifa sana sana kazi yake imekuwa kutetetea magamba.! Ngoja aonje joto ya jiwe

Ukisema hvyo inamana unawahusisha cdm moja kwa moja na hli tukio
 
kuwa na rais mpiga kimya kama huyu ni MSIBA KWA TAIFA. Eee mola tuondolee hii KERO
 
Ukisema hvyo inamana unawahusisha cdm moja kwa moja na hli tukio
Kwa haraka haraka unaweza kudhani hivyo, ninachosema ni kwamba Kibanda anatabia za usaliti sasa kwa hisia zangu may be amesaliti kule kwenye wataalam wa kurekebisha tabia..! Cdm size yake ni CCM siyo Kibanda.!
 
Back
Top Bottom