Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
hivi huyu jamaa anatuliaga ofisini kweli?
Upepo umetulia.
Hata ze bigshow haleti mada zake tena.
mbowe ndie anashinda ofisini
hivi huyu jamaa anatuliaga ofisini kweli?
umeshawi kusikia sultani akikaa ofisini?
Upepo umetulia.
Hata ze bigshow haleti mada zake tena.
hivi huyu jamaa anatuliaga ofisini kweli?
Kweli Ccm ni janga
wakati hakuna gesi alikuwa haonekani kule...mzee wa dili huyuWatanzania tusiwe wajinga mpaka tunapitiliza. Asipoenda, mnakuwa wa kwanza kulalamika kuwa Kusini imetelekezwa. Akienda mnahoji kipumbavu anafuata nini.
Rais kutembelea mkoa nao ni uzururaji?
wakati hakuna gesi alikuwa haonekani kule...mzee wa dili huyu
lazima umemaliza form four mwaka jana wewe,hata hujui kujibu maswali
Upepo umetulia.
Hata ze bigshow haleti mada zake tena.