Rais wa TZ Mh. JK ninakushauri ufanye yafuatayo tutakukumbuka nayo.
1. Tupatie Katiba mpya
2. Tupatie Tume huru ya Uchaguzi
3. Iimarishe CCM kwa kuwafukuza mafisadi
4. Wadhibiti watu wanaotishia maisha ya wengine
5. Usikubali kutenganisha Uenyekiti wa CCM na Urais kwa kuwa watakufanya kama Mbeki wa S/Africa
6. Usiilipe Richmond/Dowans kwani itakuharibia histiria yako
7. Uridhie kuwepo kwa mgombea binafsi.
Natoa hoja!
Wana JF ongezeni mengine.