VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Inafikia wakati simuelewi Rais wangu Kikwete.Hawawajibishi watendaji wakosaji serikalini mwake.Anafuga ubovu.Ubovu huzaa mbovu.Eti,anawastaafisha t au kuwahamisha vitengo tu.Chukua mfano wa Mwanyika,Hosea,Jairo,Luhanjo na sasa Ikerege(Mkurugenzi Mkuu wa TBS).
Hivi,Rais wangu Kikwete anasita kwanini? Bado analinda jina lake lisichafuke ili agombee uongozi mahali fulani? Anaogopa kwakuwa vyombo vya usalama havimhakikishii ulinzi?

Binadamu ana viungo vitano vya fahamu tumia vyote utaelewa
1. macho
2. masikio
3. mdomo
4. ngozi
5. pua
Dk Slaa katuhumiwa kuiba mali ya kanisa alipokuwa katibu mkuu wa baraza la Maasikofu na anatuhumiwa kujilipa posho kubwa yeye, mkewe na yaya kwa kiasi cha 250,000 kwa siku kila mmoja, katuhumiwa kujikopesha fedha za chama na kisha kujengea nyumba binafsi kunduchi, je hizi tuhuma na nyingine zinatosha kumfukuza kazi ya ukatibu mkuu wa chadema.
Mbowe anatuhumiwa kutafuna fedha za NSSF baada ya kukopa na kudaiwa kakataa kurudisha. Je, hii inatosha kwamba hafai kuongoza chadema? Mbowe anatuhumiwa kuchukua fedha za chama na kununua nyumba dubai.
Ni nani atawawajibisha wote hawa na tuhuma zao? Ni JK.
Kama tuhuma za Dk. Slaa na Mbowe ni za bandia ni nani kasema za wengine ni za kweli?

heee Dr kaingiaje hapa naye ni raisi!?

Nafikiri kinachompa tabu Rais kufanya uamuzi ni woga wa kuishitaki serikali na kuwalipa mamilioni fidia waathirika wa uamuzi wake wa kuwafukuza endapo watakimbilia mahakamani.
Mahakama inatoa uamuzi kwa kuomba ushahidi na vielelezo. Mambo mengi ya watuhumiwa yamekuwa yanakuzwa na vyombo vya habari bila maelezo ya kutosha. Kusema fulani ni mwizi tu au fisadi tu hakutoshi kutoa maamuzi ya kumfukuza kiongozi.
Kama ingekuwa rahisi hivyo hata baadhi ya wananchi wangeweza kufungua mashitaka dhidi ya watuhumiwa hata kama Rais hataki kuwatoa lakini bado ushahidi na vielelezo vinahitajika mahakamani.
Hata mimi ningependa Rais wangu achukue maamuzi magumu kuwaondoa lakini je, ataondoa kila kiongozi kwa tuhuma za kusikia tu au kuambiwa fulani ni fisadi.
Mwanyika na Luhanjo waliachwa kwa muda mrefu hadi kipindi cha kustaafu kilipofika. Technical retirement! Hosea mbona hakuguswa? Jairo naye anasimamishwaje wakati tayari yupo mrithi wake Wizarani.Read between lines Mkuu..Hueleweki kwa kuwa huelewi mambo yalivyo:-
- Mwanyika na Luhanjo wamestaafu kisheria.
- Hosea bado ni mkurugenzi wa takukuru.
- Suala la Jairo halijaamliwa na yuko nje ya ofisi (kasimamishwa).
Ni yupi hasa unayemaanisha kuwa JK amemstafisha au kumhamisha?