JK atinga G.Unit

safari hii hajaonyesha yale mapozi ya kisharobalo ya kukunjakunja vidole

naona mnajiweka katika leval ya JK .... ! JK ni Rais.... ni wazi kwamba 50cent ndio ameomba kupiga picha na JK... sasa wewe ungekuwa JK na 50cent ametaka kupiga picha na wewe .. ungekataaa....????

hebu wekeni chuki binafsi pembeni ....
 


naona mnajiweka katika leval ya JK .... ! JK ni Rais.... ni wazi kwamba 50cent ndio ameomba kupiga picha na JK... sasa wewe ungekuwa JK na 50cent ametaka kupiga picha na wewe .. ungekataaa....????

hebu wekeni chuki binafsi pembeni ....

Mkuu ulikuwepo wakati picha inataka kupigwa? Maana inajionyesha kana kwamba wewe ndie ulikua mpiga picha..haya ya kusema ni wazi kwamba 50 Cent ndie alieomba kupiga picha na muhishiwa umeyajuaje?!
In whatever scenario, that's too low for a president of a united republic!! Hata kama aliombwa, kwani ombi lazima likubaliwe? Who is 50 Cent kwa rais wa jamhuri?! Hapo ndipo muhishiwa uwa hatumii akili na busara, anachanganya utashi wake kama Raia na utashi wake kama Rais wa Jamhuri!! Kama raia hisingekua ishu kupiga picha na 50; lakini kama rais hakupaswa kupiga picha na mtu ambae hata nyimbo zake hazina mafundisho yoyote ya maana kwa manufaa ya nchi yetu!!
 
Kwa hiyo JK ndiye aliyeomba appointment na 50 ct au ni vinginevyo? Najisikia nimedhalilishwa ..
 

How? Who belittled who in this case? who had the upper hand here?
 
Huyu angefaa kuwa mwimba taarabu ndo ingemfaa ila siasa na kuongoza watu kapotea njia
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…