JK atinga G.Unit

Akiachia ngazi tu.tunampeleka mahakamani kwa makosa yafuatayo 1.kufuja mali za umma 2.kutumia mali,pesa,na magari ya serikali katika kampeni 3.kutowafungulia mashtaka wafanya biashara wa madawa ya kulevya wakati amesema anawajua.4 ufisadi 5.mke wake ametumia nauli na posho za serikali ktk kampeni za ndani wakati wa uchaguzi 6.kufanya safari nyingi za nje wakati waziri wa mambo ya nje ndiye aliyepaswa kufanya kazi hizo. 7.kashfa zote zilizo lipotiwa wikriksi zitakuwepo katika kesi yake.
 
The Hasheem Thabeet's of the world should learn something here, 50 cent, thankfully, respected my president by dropping the bling, the saggy jeans, the baseball hat, the durag whatever whatever.

The Hasheem Thabeet's of the world should learn something here, 50 cent, thankfully, respected my president by dropping the bling, the saggy jeans, the baseball hat, the durag whatever whatever.

Noooh ... I think , The Hasheem Thabeet should always Be Himself when going to meet President or not ... Then President should decide to meet the real Hasheem or not!! If President opt to meet Hasheem with Bling *SJeans etc ... It tells a lot of President maturity, real and true character of where he is coming from...
 
Nyie ngojeni tu jamaa amalize muda wake, mtamkumbuka, kwani Mzee Ben walisema hayupo karibu na watu,
 
Kama kulikuwa na shughuli za maraisi wote na wanamuziki wakaalikwa ili kutoa burudani na ujumbe kwa maraisi kuna tatizo gani,mbona wa bongo flava anapigaga nao!
 
The Hasheem Thabeet's of the world should learn something here, 50 cent, thankfully, respected my president by dropping the bling, the saggy jeans, the baseball hat, the durag whatever whatever.

Huyo Hasheem kwenye hiyo picha hapana! Yaani hakuweza hata kuvua cap basi! Aaaagggrrr
 
kawaida mbona ata hapa bongo flava anapigaga nao,kama wamealikwa kuna tatizo kupiganao.
 
Huyo Hasheem kwenye hiyo picha hapana! Yaani hakuweza hata kuvua cap basi! Aaaagggrrr

hahahha Kazi tunayo kama hata protocol za kutambua vitu vidogo zimeshinda sasa kanuni na masharti magumu ya taaluma yake ya baset ataziweza.Huwa nikisoma na kuona habari zake huyu super star Najiuliza hivi anashindwa hata ku chukua PR advice za msimu kama anaona darasa la PR la mwezi mzima halimfai

Nadhani JK ni mshabiki wa 50 cent. Ila sidhani kama hakuna matumizi mabaya ya fedha kwenye hizi safari za nje za JK.

Ni hivi
  • JK na 50 wamepiga picha au tunaweza kusema 50 cent kapiga picha akiwa na rais JK wa Tanzania
  • lakini JK na thabeet ni JK ndio kapiga picha akiwa na hashim Thabeet ..au hashem thabit kapiga picha na Kikwete sio rais
 
Word!

I guess H Thabeet was like 'its no big deal' wonder if hed be drapped in the same attire were he to meet Obama ?

The full France squad team met their prime minister clad in suits, they might have plaited their hairs pierced their ears but definetly respects authority

Hasheem wouldn't dare meet the queen in THAT! He belittled our presdaa really
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…