Elections 2010 Jk ata hili linakushinda

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
Alipoenda kuvinjari Temeke kata ya Sandali pale wananchi katika shida zao wakamwambia kuwa wanaitaji Zahanati.
Jibu lake ni kuwa serikali haina eneo la kijenga zahanati tena akatania Mwenyekiti wa kata awape kiwanja chake wajenge Zahanati
MY TAKE
Sasa kama raisi hawezi tatua tatizo la zahanati nani atalitatua ilo na ni kwanini aliwaambia wataje shida zao.Wakati pale kilimo kuna shamba kubwa tuu wamepanda minzai na kufuga ngombe angeweza wamegea plot.Watu toka enzi na enzi wanatoka Sandali mpaka hospitali ya temeke kutibiwa.
Kama city centre wameambiawa ivyo je uko Nanjilinji,Ludewa,Kasanga
Naona jibu kama hili halina tofauti na lile la wanafunzi kupata Mimba ni kiherehere chao
Naona kwa hili na mengine JK kuna haja ya apumzike tuu!
 
Tatizo la JK ni IQ yake ni ndogo sana, so hata uwezo wake wa kufikiri ni mdogo, sana , yaani haumfikia slaa ambaye IQ ni kubwa sana
 
JK anatumiwa sana, mpaka kuna wakati namwonea huruma. Waliokaribu nae wanajua ana uwezo mdogo wa kufikiri na sasa wanamfanya kama mwanasesere wao. Inasikitisha sana kuwa na kiongozi wa nchi wa aina ya JK
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom