Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Mkuu anaongelea Vitu mchanganyiko
Sasa hivi ameingia ktk gas Kuwa safari yake mwisho UK alienda kuwaombea wanafunzi wetu wakasomee utaalamu wa gas.
Kwani hamna watu wizara ya elimu wa kufanya hiyo kazi?