Rais JK anahojiwa na TBC1
Kuhusu katiba Sasa hivi.
Cheki ulivyo mjinga wa fikra .Yaani niache kucheki UEFA nimtazame huyo jamaa!!
Kila siku wewe hujiamini unamatatizo gani kwenye kichwa chako mkuu.Tbc inamuhoji au inampromoti hawawezi kumuuliza maswali yaliyo nje ya matakwa ccm
Yaani niache kucheki UEFA nimtazame huyo jamaa!!
Rais JK anahojiwa na TBC1
Kuhusu katiba Sasa hivi.
Rais JK anahojiwa na TBC1
Kuhusu katiba Sasa hivi.
Tupia updates kwa uchache mkuu hususani kwa sisi tusio na tv.
Cheki ulivyo mjinga wa fikra .