jk rushwa au rushwa jk ni kitu kilekile atapiganaje na rushwa?!!!!!!''rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais ambaye atalitambua hilo na ataichukia rushwa hata ukimuangalia anaonyesha kweli anaiichukia rushwa, sio rais ambaye anayesema kweli rushwa ni adui wa haki akini ukimuangalia usoni unashangaa na kusema.... Aaaah kweli huyu?'' by mwalimu nyerere
jk anachukia rushwa?
jk rushwa au rushwa jk ni kitu kilekile atapiganaje na rushwa?!!!!!!
NazJaz, unajaribu kusema JK anachukia Rushwa kwa maneno lakini vitendo vyake havionyeshi hayo ndiyo maana inambidi NAPE kwenye mikutano alazimishe watanzania kuamini kuwa JK ni msafi? Hivi mbona sijawahi kusikia kwenye mikutano watu wako busy kumsafisha Nyerere?Kikwete akiichukia rushwa atakuwa anajichukia mwenyewe
endelea kubaki na huyo babu yako nyerere. kila kitu nyerere. Akhhhhh.''Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais ambaye atalitambua hilo na ataichukia rushwa hata ukimuangalia anaonyesha kweli anaiichukia rushwa, sio rais ambaye anayesema kweli rushwa ni adui wa haki akini ukimuangalia usoni unashangaa na kusema.... aaaah kweli huyu?'' by Mwalimu Nyerere
JK anachukia Rushwa?
Wanapendana kama dumu na mfuniko!
hii topic haina mwelekeo. Sote tunamjua jk.
Iptl-jk
madini-jk
richmond-jk
dowans-jk
stimulus package-jk
epa-jk
kama hizi kashfa za ufisadi zingekuwa hazimgusi jk, na kuwa yamefanywa na wengine tungejadili.
endelea kubaki na huyo babu yako nyerere. kila kitu nyerere. Akhhhhh.
njo na story nyingine achana na pumba zako hizo. miaka 25 madarakani watu wenye degree 3000 out of mil 30 population. ujinga.