Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 741
- 285
si mlikuwa wote milembe?tundu huyu chizi
Khaa!!! Kwani udpp ni kazi ya mwanasiasa???
Ndo nani huyo Tundu Lissu?
Lisu ataanza kuandaa mashtaka ya jk mara moja baada ya kupewa huo uddpp! Si unakumbuka scandal ya Epa na sasa huo wizi unaoendelea huko dodoma mchana kweupe?
uongozi si akili tu bali pia hekima
Kumbe mnamjua OSAMA wenu ni nani?hii ni sawa na obama kuoga kwenye chumba cha osamA