ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali imetakiwa kutokubali kuingiliwa na viongozi wa kisiasa ama wa kiserikali katika utendaji wao wa kazi, wakati wa kushughulikia watendaji wanaofanya ubadhirifu wa fedha na rasilimali za umma.
Agizo hilo lilitolewa na rais jakaya kikwete wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali tawi la mkoa wa morogoro.
Kikwete alisema kitendo cha kukubali kurubuniwa kwa namna yoyote na wanaofanya matumizi mabaya ya fedha za umma, kutarudisha nyuma jitihada za serikali katika kuboresha maisha ya watanzania. Source tanzania daima.
sasa ndugu zangu toeni maoni yenu, hapa legelege ni cag au mkuu wa kaya? Sababu mambo ya kifisadi ameshindwa kuyafanyia kazi mpaka leo hii, makarabrasha yanaozea kabatini na yupo anakunywa nao kahawa. nawasilisha.