Habari nilizozipata hivi sasa ni kwamba Rais JK anakutana na wabunge wote wa CCM pale Ubungo Plaza. Haijajulikana kinachozungumzwa na waandishi wamezuiliwa. Tuombe mungu mmoja wa wabunge hao awe mwana JF ili japo atujuze. Mie kwa sasa uwezo wa uchunguzi wangu umeishia hapo.

Ni kosa la jinai viongozi wa umma kukutana wakizungumzia maswala ya umma na waandishi wa habari wazuiliwe HAKI YAO YA KUPATA HABARI 'ON REAL TIME' mpaka kuja kuchakachuliwa baadaye.Kwa wale waliowanasheria wanaweza kutusaidia hii inakubalika kuitisha mkutano na baadhi ya wabunge ikijumuishwa na spika wa bunge bila kuwaita waandishi wa habari ukizingatia bunge ni muhimili wa dola unaojitegemea na rahisi pamoja na waziri mkuu ni muhimili mwingine. sijui hata kwa kanuni za bunge hii imekaaje? hasa hasa HAKI KINGA NA MADARAKA YA BUNGE.
Ni kosa la jinai viongozi wa umma kukutana wakizungumzia maswala ya umma na waandishi wa habari wazuiliwe HAKI YAO YA KUPATA HABARI 'ON REAL TIME' mpaka kuja kuchakachuliwa baadaye.
Hata hivyo, wala sipati shaka maana zaidi ya nusu ya wabunge wa CCM ni wapiganaji wetu na 1/8 yao inayojua kutumia computer na mitandao mengine ni wana JF.
Tuvute subira kidogo tutapata taarifa kamili hata kabla ya wenye vyombo vya habari wenyewe na kufahamu kiundani kilichojiri kule WALIKOKWENDA WABUNGE WA CCM KULA TUSHENI ya namna ya kujieleza bungeni.