JK akifanya mazoezi lakini....

politics at work..mzee akili yako fupi sana...yaani umeishia kwenye jeans tuu..hakyanani vile hufai humu JF..wewe hujaangalia nini ilikuwa nyuma ya pazia kwa hiyo action ya JK kufanya mazoezi arusha?? jiulize
 
Ningetamani niione Picha ya Kibaki akiwa anafanya mazoezi, kama anafanya at all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…