Jiwe walilolikataa washi??

kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
1,835
1,195Je liwezakuja kuwa jiwe kuu la pembeni neno hili latoka kwa kitalolo nalo laweza kuja kuwa la ajabu machoni pa wengi.

Wakati Lowasa alipokuwa akitajwatajwa kuhusika na usfisadi Nape na kampeni yake ya kujivua gamba aliaanza kukatiza mitaani ni kuendesha kampeni ya kuwangoa mas=fisadi walitajwa katika chama akiwemo chenge, lowasa na Rostitamu. hapa nape kaamua kutala matapishi yake?

sijaleta siasa kweli kwenye jukwaa la picha naomba muangalie tu picha na muburudike msichangie
 
Last edited by a moderator:
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
4,790
2,000
....sasa limekuwa jiwe kuu la pembeeniii..
...neno hili nimelipata kwa kitalolo......
...nalo ni ajabu machoni petuuu.......
 
Last edited by a moderator:
eucalyptos

eucalyptos

JF-Expert Member
389
225
CCM, CCM, CCM! WEWE UNAYEFANYA SIASA ZA MAJITAKA NA KUWATAPELI RAIA. Unawaambia unakwenda mbele kumbe warudi nyuma. Mh!
Yaani Nape namuonea Huruma mwisho wake pamoja na hicho chama.
 
NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
5,076
1,250
watalikubali tu taratibu na washaanza kulikubali si mmeona arusha
 
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
4,153
1,250
nilipoiona hii picha kwenye gazeti la Nipashe sikuamini.
Mwanzoni nilijua kuwa Tanzania kuna unafiki na fitina lakini sikuwahi kudhani kama ni wa kiwango hiki!!!
View attachment 72480
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
46,375
2,000
Nape ni kama mbwa anayejipeleka mdomoni kwa chatu mkia ukiwa umefyata.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kimagege

Kimagege

JF-Expert Member
283
195
hao ni paka na panya mwisho wa siku lazima mmoja atamla mwenzie.ni nani tusubiri muda ukifika tuajua.
 
Jakubumba

Jakubumba

JF-Expert Member
1,625
1,195
nilipoiona hii picha kwenye gazeti la Nipashe sikuamini.
Mwanzoni nilijua kuwa Tanzania kuna unafiki na fitina lakini sikuwahi kudhani kama ni wa kiwango hiki!!!
View attachment 72480
Jamani huyo mrembo anaeonekana hapo ni nani? Aisee amenivutia sana ila amekaa na mafisadi sina pesa ya kifisadi ya kumvutia.
 

Forum statistics


Threads
1,424,773

Messages
35,072,029

Members
538,098
Top Bottom