Hahahahaha mie sina tabia za kishetani za kufikiria kuchukuwa uhai wa mtu kwa kunikosoa tu ukilinganisha na huyo muuaji wa Ikulu ambaye mikono yake imejaa damu za Watanzania wasio na hatia. Kelele za Watanzania zimesaidia ni miezi sasa hakuna mauaji au watu kupotea na kuokotwa kwenye viroba au ufukweni.