voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Naam!
"Bash-Law" amelenga Mshono kwenye "Mzinga wa Nyuki" ndani ya CCM!
Ghafla ikaitishwa Kikao cha dharula CCM Dodoma!
Mara tumemuona Mama kaingia Site huko Singida na Manyara kwa haraka!
Tumemuona Akimnyanyua waziri wa wakulima #Bashe ili amjibu #Bashiru!
Lakini busara za #Bashe zikamuepusha na Malumbano kwa wajina wake #Bashiru!
Leo tutasubiri kusikia kama Mama mwenyewe ataamua kumjibu #Bash-Law!
CCM ilipofika kwa sasa,inahitajika kina "Bash-laws" wengi ili kuiokoa toka kwenye mikono ya walioikosakosa kuiua kabla ya 2015!
Nawakumbusha tena enyi ma-chawa wa Asali!
"Mwambieni Mama!
hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu"
Mvua mnazosingizia kusababisha Mgao wa Umeme!
Hatujawahi pewa taarifa yoyote toka kwa wasimamizi wa mabwawa ya Umeme nchini.
Tangu pale yule wa Kidatu,alipopingana na Makamba mwaka jana!
Ni kama walipigwa stop kuongelea Mabwawa yao,sambamba na yule wa TPDC aliyepingana na Makamba kuhusu akiba ya Mafuta nchini,mwaka Jana hiyohiyo!
Matatizo!
"Ninahisi kana kwamba ninaadhibiwa,"
Anasema mwanamke mwenye umri wa miaka 55 hivi baada ya kujua kwamba ana kansa. Akitafakari kuhusu makosa aliyofanya miaka kadhaa mapema, alikata kauli hivi, “Lazima hii iwe njia ya Mungu ya kuniambia kwamba nimetenda dhambi.”
WANAPOPATWA na matatizo!
Watu wengi huhisi kwamba Mungu anawaadhibu kwa sababu ya makosa fulani waliyofanya. Wanapokumbwa na msururu wa matatizo, wanaweza kusikika wakisema: “Kwa nini mambo haya yananipata mimi? Nilifanya nini ili nistahili kupatwa na mambo haya?”
Je!
tunapaswa kukata kauli kwamba matatizo yetu yanaonyesha Mungu anatuhukumu?
Je!
kweli matatizo ya kibinafsi ni adhabu kutoka kwa Mungu?
Tunapokaa na kuendeleza Malumbano kwenye Mambo ambayo,tunao uwezo wa kuyapatia ufumbuzi sisi wenyewe!
Na tukapofushwa na Itikadi za milengo ya kisiasa ndani ya Bongo zetu!
Tukasahau kwamba kule Majumbani kwetu,tunalalia Mashuka na Mablanketi ya kununua kwa Pesa zetu,na sio Bendera za Vyama vyetu vya siasa!
Tunapokubali mustakabali wetu na familia zetu kuamuliwa na kundi la wachache!
Halafu tunabaki kusema ni Kudra za Mungu!
Hiyo sio Sahihi.
#Tutasimamana #Bashiru
#BashirusioNdugai
Alamsikhi!
10101.