Jitoe ufahamu tu utaenjoy nakwambia

Jitoe ufahamu tu utaenjoy nakwambia

rajiih

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
500
Reaction score
757
Ukitaka uinjoi Mapenzi basi we JITOE UFAHAMU TU...Ishi kama hakuna LOGIC duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua SITUATIONS na kujaribu kutumia Akili kwenye Mapenzi...Ukitaka kutumia Akili nenda kawe Mwanasayansi utusaidie Kuvumbua Dawa za Corona na Chanjo Za covid Uko...

Ukiwa Penzini au Ukiwa unataka kuingia Penzini kaziache akili zako LABORATORY zisaidie kukuza minyoo...

Kila mtu anataka MPENZI WA PEKE YAKE lakini kila mpenzi unayegusa unakuta JAMAA WALIPITAGA ZAMANI na hawana idadi...Na ukijifanya kutumia AKILI kumuuliza

"Umewahi kulala na Wanaume wangapi before me",Jibu lao huwa ni rahisi kweli...."Wawili tu yaani we ndo wa 3",Wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54...Ana MAEX 53...Mtu ana MAEX 53 atakuwaje MPENZI WA PEKE YAKO???

Ina maana wewe ndo unasugua na Steel Wire au?? Kashaguswa na kila type, Pingili za Mihogo,.Ndizi Kisukari, Tango, Tambi ya Jiko,
na kila type na LAZIMA mmoja kati ya hawa MAEX alimfeel sana japo IT DIDNT WORK OUT wakaachana ingawa deep down wana feelings za kimyakimya...Kuambiwa wewe UNAPENDWA haimaanishi hamna EX ambaye kila akimuona Anaget Wet!

Na MAEX wengine hawana huruma,hata wasipoonana Miaka 2, siku wakikutana Anaget Wet jamaa anapitisha Dekio,na atarudi home atakutext, "I love you babe mi ndo nalala, Nakupenda sana"

Ukiamua kupenda WE PENDA TU, ila ukitaka kujua yanayojiri ndani ya Penzi lako UTAWEKEWA DRIPU BURE...Shkamoo wewe hapo ambaye EX WAKO WA 36 kila mkikutana lazima mpashe kiporo japo unampenda mmeo..Shkamoo Sana...Mapenzi matamu sana
IMG_1365.jpg
 
Nachoshukuru kwangu mim sjawahi kumpata mpenz akanishka akil,mim huwa naonesha kumpenda mtu kama kurudsha fadhila pale napoona yeye ananitendea vyema.

Huwa nataman ila sjawah penda.

Kuna binti ni mzur na maisha yake yote amekuwa na bahati ya kukutana nawanaume wanaompenda sana na kumpatia hela nyingi sana.

Kwa jins anavyoish na mim mpaka huwa anajishangaa kwa jins navyoish nae kama sijal,akizingua namwambia ondoka,anashndwa kuondoka inabid atulie tu
 
Natamani mtu mmoja anielekeze namna za kudhibiti nguvu ya upendo ndani ya moyo wangu, yaani nikipata binti haijarishi amenipa mapenzi ya kiasi gani ila mimi nibaki kwenye msimamo wangu wa kiume kuto kuzama na kujisahau,
Nipeni mbinu, nimechoka kupigwa matukio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom