Jitihada za kifisadi....

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Kuna mjadala utaibuka muda si mrefu, unaohusiana na jitihada za kifisadi za kuuzima na kuufunika kabisa mchakato wa kurasimisha sekta ya sanaa Tanzania, jambo ambalo ndugu yangu JK ameliweka moyoni kwake na analisimamia kwa nguvu zake zote.

Naomba ujumbe huu umfikie JK.

Mosi, jitihada hizo hazitafaniki...wa!

Pili, yuko mtu ambaye atahakikisha mchakato huo utakamilika KAMA ULIVYOPANGWA!

Tatu, nimeambiwa, mtu huyo ni "mdogo kama piriton" lakini ana ujasiri "mkubwa kama dunia", yaani, hata atishiwe vipi, uzalendo wake unamsukuma kuuweka utaifa mbele kuliko hata maisha yake. Yaani, kimsingi, haogopi kufa.... so, mafisadi wakae pembeni, vitisho havitamwogopesha.... I wish I was THAT courageous! LOL

Anyway, nadhani ujumbe umefika.

./Mwana wa Haki

P.S. Nikipata update nitatoa taarifa hapa.
 
Back
Top Bottom