SUMUYANGE
Member
- Apr 5, 2017
- 31
- 67
Juzi katibkabla ya mchakato wa kupiga kura, nilikuwa nafatilia mijadala ya wabunge hasa wale wa Ccm tena wanawake waliokuwa wanaishutumu CHADEMA kuwa hawajafata Gender katika uteuzi wao.
Viongozi wa Chama Mh. Mbowe na Mdee walijaribu kuwafanunulia Kwa weledi kabisa maana ya 1/3 ya (ke) na nafasi 2 tulizonazo chadema, lakin maccm Kwa kutokusoma sheria walijitoa akiri Kwa kung'ang'ania pasipo kujenga hoja
Kwa upande wa CUF walipelekwa watu wanne kinyemela japo mmoja alijitoa mwishoni na mmoja kati ya waliopelekwa na CUF alikuwa mwanamke.
Kwenye kupiga kura sasa nikategemea wale maccm waliokuwa wanapiga kelele ya gender hasa wanawake wangemchagua mwanamke kutoka CUF ili kuonyesha wanayoongea ni sawa na wanayotaka yafanyike, cha kushangaza mdada wa CUF amepata kura ndogo kabisa maana yake sasa wanawake hasa maccm ni wanafiki na wao km wanawake hawapendani na hiyo 50/50 wanayoiubiri ni uongo mtupu na unafiki..
Wanawake wa Ccm acheni unafiki....