Jirani yangu simuelewi

Kaa mbali na tamaa za kimwili ili uishi siku lukuki
 
Umalaya huo kufunguliwa geti tu uzuzuke vipi ukipikiwa chakula?!
Kuwa makini we unajua kusema tu ulimkuta na chupi hivi alie nunua chupi kile unamfahamu?!
 
Umalaya huo kufunguliwa geti tu uzuzuke vipi ukipikiwa chakula?!
Kuwa makini we unajua kusema tu ulimkuta na chupi hivi alie nunua chupi kile unamfahamu?!

Nahizo mbili ndio zinamalizikia sio ?
 
Halafu nilisahau uliendesha gari ukiwa umelewa sio?! Jilete mwenyewe kituo cha polisi ujinga wa kukimbizana kimbizana hatutaki we njoo jieleze kuwa ulitenda kosa hilo ni nikawa muungwana kukiri hadharani usitie ujanja Tukisema tutumie hapa kazi tu utalia we njoo tumalizane
 
Mkuu una maamuzi magumu kweli kweli
 
Kila siku unywe pombe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…