Jirani yangu simuelewi

sinaona vile umemvuta nawewe sijui ni jirani yako huyo manzi mkaja kupumzika endelea tu mkuu
Hommie mbona umetaka kunipia upepo arifuu.

Jumapili ibuka hapa kijenge masai camp nikuvutishe wida hiyo ngata ikae niaje.
 
Hommie mbona umetaka kunipia upepo arifuu.

Jumapili ibuka hapa kijenge masai camp nikuvutishe wida hiyo ngata ikae niaje.
Huyu vp kumbe ni chalii ako na mm ntaibuka tu huko mushono masai camp
 
Hommie mbona umetaka kunipia upepo arifuu.

Jumapili ibuka hapa kijenge masai camp nikuvutishe wida hiyo ngata ikae niaje.

Mkuu wewe niwapande hizo ? nasikia huwa hamtaki mchezo kabisa
 
Anzisha chat ss hafu mwambie jinsi nguo alovaa zilivyochanganya brain yako....hapo ataelewa na believe me usiku huu huu unaweza mgegeda.mipia nshadata kwa jinsi ulivyoelezea
 
Vipi kuusu kupoteza uhuru wako hapo ndipo penye ukakasi
Uhuru wa namna gani.

Si kila mtu anaingia kazini mchana. Jioni mnakutana unakula buyu.

Mamilo akija kukutembelea unajifanya haujui chochote
 
Uhuru wa namna gani.

Si kila mtu anaingia kazini mchana. Jioni mnakutana unakula buyu.

Mamilo akija kukutembelea unajifanya haujui chochote

Kuna kamkataba nilijulishwa asubuhi nahis kanaweza kakafaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…