Jirani wa ajabu huyu

Vitu vingine havihitaji hata ushauri mkuu. U just mind yo damn business,achaneni nao.
 
sikiliza ule wimbo wa zamani wa juma nature unaitwa 'JIRAN MTANI'
 
Anaishi kwake, unaishi kwako, simlpe tu. Over
 
Kwani asipo wasalimia au akiwasalimia anapunguza nini kwenye maisha yenu? ujukua kila mtu ana stress zake za maisha
mtu akinuna usidhani amekununia wewe huenda ana tafrani zake zakutosha zinazomfanya asijisikie kuongea na mtu,na msimlazimishe anaweza kukuibu kitu ukamuona mjeuri au amekuvunjia heshima,angalia maisha yako na yeye mwache aangalie yake.........
 
Inamaana jirani anampenda mumeo....ina maana jirani anakuona unanyodo?ina maana mumeo anapesa sana zinazokupa kiburi?nijibu alafu nikupe solution
 
Kitendo cha kuleta jambo dogo kama hili kwenye mitandaoni ya kijamii inadhihirisha wewe ndiye mwenye tatizo.
 
mshamjua ana matatizo so go easy nyie muangalieni tu.....maana haeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…