Mimi nakushauri waiteni yeye na mmewe muongee nao ili kujua kinachowakabiliSalaam wanajamii wenzangu,mwenzenu ninajirani angu najitahidi kumuelewa ila mh ngumu sasa.
Akipata matatizo hasa yakuugua kuuguliwa hasemi kama anamatatizo unayasikia kwa watu basi kwaaibu kwasababu ulionao wanasema pole nawewe unasema pole,lakini habari zetu tukiamua kukaa kimya atakuja mpaka kuuliza kinachoendelea kama sio yeye hata basi mumewe atakuja!
Nimekua najiuliza mwanzoni alikua anasema tunasaidiana fresh tu ,tena ukizingatia hana wazazi wala ndugu wakaribu hapa mjini,ila gafla akaacha kabisa na sometimes anatukana watoto wangu na kuwakoromea ikabidi niwazuie hata kucheza kwake.
Najiuliza ni Mungu anaamua kudhihirisha tofauti zetu au kaingiwa nini?hatujawahi kumuacha akiwa na shida tatizo ninini?anaongea na mumewangu anajichekesha kweli ila mimi hata akiniona anakimbia mara nyingine,jana asubuh alimsalimia mumewangu,mume wangu akamjibu mbona mke wangu humsalimii?mimi ni mwema sana kwako kuliko mkewangu au unalipi jingine?akakimbilia ndani leo hajarudia tena na tulipomsalimu hakujibu.
Nafikiria kuachana nae kabisa hata kumsalimia maana hajibu,ntakua nakosea?
Kumsengenyaje kwa mfano?Wewe ni jipu, punguza kumsengenya na kumsema vibaya jirani yako...huna chochote ninyi ndo.mnaosumbua mitaani watu hawanywi maji...dhibiti mdomo uone kama hatakuheshimu...we kutwa kumsengenya jirani yako, acha tabia hiyo, umemaliza mtaani sasa unatuletea umbeya wako jf, unastahili kupigwa ban usichafue jukwaa kwa umbeya....
Umeongea point rafiki nahitaji kujua labda tulimkosea bila kujuaMimi nakushauri waiteni yeye na mmewe muongee nao ili kujua kinachowakabili
Pia nimemsemaje wakati haongei na mimi?atasikiaje mdomo wangu ukifunguka?best uweunafikiria kwanza au uwe unasoma vizuri,kukurupuka huku utakuja tukana wakwe punguza ujuajiWewe ni jipu, punguza kumsengenya na kumsema vibaya jirani yako...huna chochote ninyi ndo.mnaosumbua mitaani watu hawanywi maji...dhibiti mdomo uone kama hatakuheshimu...we kutwa kumsengenya jirani yako, acha tabia hiyo, umemaliza mtaani sasa unatuletea umbeya wako jf, unastahili kupigwa ban usichafue jukwaa kwa umbeya....
Tafuta upande wapili alafu njoo ushaurijina lako linaonesha wewe ni tatizo kwa kuwa nimepata one side story sishauri
hapa sio polisi ambapo atakayewahi ndio mwenye haki
Nimekuelewa.sana mkuu,umebadilisha fikra na mtazamo wangu,umenisaidia kujua mpaka wangu kwa kuishi na watu,asante hata mama yangu hajawahi niambia hili,ubarikiwe sana na Mungu akutane na haja za moto wako“I don’t know the key to success, but the key to failure is trying to please everybody.”
Bill Cosby