Hivi jaman nina sweetie wangu anadai ananipenda ila cha ajabu hapendi kusema kama ana mpenz kila anapotongozwa na midume,na juzi nilimkuta anatongozwa nikajitetea mi ndo mpenz wake nilishangaa kwan alinikana bila woga.leo anadai nimsamehe eti siku hiyo hakuwa vizur ndo maana aliropoka vile,wajamen mi nifanyaje?