Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

mie nene ya nini kisa cha kukimbia kua nimeona mguu wa mtoto kumbe dushelele ya m2 kisa ni haka mie yangu vibamia ndo vinanifikisha kunako

hahahaha duh umeua!!no comment
 
Mkuu ungerudi upate nyagi tatu ili ulale fofofo

Kwikwiiii leo tunalingishiana hapa ahahaaaa mbiliko yupo na mwanamke wake kaisha mliza tena mapema tu ila now tunapiga pombe hapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…