Jipatie vitabu na Biblia kwa bei nafuu

Jipatie vitabu na Biblia kwa bei nafuu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki

Ninauza vitabu vya dini aina ya IFAHAMU MSINGI YA SIFA NA KUABUDU
na kitabu cha TENZI ZA ROHONI KWA BEI NAFUU ambayo ni Tshs 5,000@1
na Kitabu cha WOGA kiko kiwandani bado kikiwa tayari nitawajulisha pia

Na

Biblia ndogo ni shs 10,000/=
Biblia size ya kati ni Tsh 12,000/=
na kubwa pia ninazo kwa yule anayehitaji aniPM nitamletea mahali alipo (kwa wakazi wa dar)
au kwa email: nikprintgraphics@yahoo.com

karibuni
 
Asante tutakutafuta, vitabu ingependeza taja author wake si unaona hata nyaraka za Biblia zinatambulishwa kwa mwandishi na walengwa. Biblia kubwa bei?
 
Back
Top Bottom