Jipatie viatu vya kike na vya kiume kwa bei nafuu

tivaharry67

Member
Jan 31, 2017
8
1
Nauza viatu vya kike na vya kiume kwa bei nzuri kuanzia 15,000 na kuendelea.

Napatikana Kibaha kwa walio Dar kiatu utaletewa kwa gharama ya sh.2000 mikoani utatumiwa kwa sh.5000

Napokea order ya viatu kupitia WhatsApp no.0785042450.

Karibuni sana.
IMG_20170203_062222_416.jpg
IMG-20170203-WA0002.jpg
IMG-20170130-WA0012.jpg
IMG_20170201_105835_853.JPG
IMG-20170124-WA0128.jpg
IMG-20170129-WA0001.jpg
 
Weka picha ya bidhaa yako iambatane na bei.. Watu washalizwa sana na mambo ya pm pm.
 
Halafu ndo utamsikia anaanza kulalamika ooohhh sipati watejaa wateja hakunaa sijui nini ..... acha kukurupuka tuliaa,andaa vizuri andiko lako kimpangilio. Hakuna mtu anaetumia pesa yake then ateseke ktk kuitumia ilhali kwenye kuitafta aliteseka.
Katembelee site za wanazouza bidhaa ujifunze wanavofanya kisha upost upyaa.
Huweki bei unamaanisha nini sasa eeehh!!!!!!!! au ili kila mtu akikufuata huko wasap au PM umpige kivyake bei eeehhh.
Nga-shtukaaa mbeeeeee!!
 
Asante kwa ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Mkuu ahsante kwa ushauri...

Lakini inawezekana mzigo wake ukawa ni mkubwa, hivyo inakuwa vigumu kuweka sample zote na bei yake..

Kimsingi ili kuepuka kupigwa, uliza Bei hapa hapa jukwaani, na kana unahitaji aina Fulani ya kiatu, na hapa ajaweka sample zake, basi ni vyema ukauliza kama anazo..
 
Yap ni kweli nakubaliana nawe lakini ujue unapoweka bei hata ya viwili au vitatu watu wanahamasika. Sasa hajaweka bei hata ya kimoja nini mategemeo yake mwisho wa siku. Usimuogopeshe mteja kabla hajafika. wengine huweka bei kabisa lakini ukifika sehemu husika utaambiwa vya bei hii vimekwisha tuna vya bei hii but kwa kuwa ulikuwa unataka vya bei ile chukua hivi ila nitakupunguziaa. hujauza hapo badoooo
 
Back
Top Bottom