nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 694
Unga huu wa lishe ni bora sana kwa afya yako,umetengenezwa na lishe mbalimbali ambazo ni muhimu kwa afya yako,kama karanga,soya,mahindi,ulezi na mchele,na umetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu!,epuka kunywa chai ya Rangi ni hatari kwa afya yako, jipatie uji wenye virutibisho utakao imarisha afya ya familia yako,tunauza kg 1 ni sh 4000 kwa jumla kuanzia mifuko mitano,kwa rejareja tunauza kg 1 ni sh 5000,tutakuletea hadi ulipo kwa wakazi wa Dar essalaam na tutakupatia na Risiti yako,tunawakaribisha wenye maduka na wahitaji binafsi,karibuni sana,tuwasiliane kwa namba 0762508455!.